Application for Academic year 2026/2027 is Open
Chuo cha Afya na sayansi shirikishi Mlandizi-Kibaha tunawatangazia wanafunzi/walezi/wazazi wa wanafunzi waliomaliza kidato cha nne(4) kuwa tunaendelea kupokea maombi ya kujiandisha kusoma kozi za afya.
Kozi hizo ni.
- CLINICAL MEDICINE
- HEALTH RECORDS AND INFORMATION TECHNOLOGY
- SOCIAL WORK
- NURSING ASSISTANT